iqna

IQNA

al jinn
Malaika
IQNA - Malaika ni viumbe vya mbinguni ambavyo vimeumbwa kutokana na nuru na imani ya kuwepo kwao ni jambo la lazima kwa Waislamu.
Habari ID: 3478169    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08

Mawaidha
IQNA – Majini ni miongoni mwa viumbe vya Mwenyezi Mungu vilivyo tengenezwa kwa moto na hadhi ya viumbe hawa ni chini kuliko ya wanadamu.
Habari ID: 3478159    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

Sura za Qur’ani Tukufu /72
Tehran (IQNA) - Majini ni viumbe vya ajabu ambavyo haviwezi kuonekana na macho yetu. Kuna hadithi nyingi na hadithi za kweli na za uwongo kuhusu majini lakini kulingana na Quran Tukufu, viumbe hawa wana baadi ya sifa zinazoshabihiana na zile za wanadamu.
Habari ID: 3476908    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24